KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, April 30, 2015

JOHN MAKIN - NUSU NUSU ( New Video ) + PHOTOS FROM LOCATION.







Watch @joh_makini "Nusu Nusu" Video HAPA powered by www.selengakaduma.blogspot.com, @weusikampuni @vmgafrica @j4cinyo @djhaazu @fredyze1 #supportyourown starring @nahreel @juma_jux dir by #justincampos @gorilla_films, #setdesign by @icandicam, video produced by @cashtime_siya

NEWS: Pigia Kura "XO" Video ya Joh Makini TZW13E


Pigia Kura Video ya "XO" by @joh_makini ft @gnakowarawara katika "Tuzo za Watu 2015" kuwania Tuzo ya Video Bora Inayopendwa na Watu kwa kuandika "TZW13E" kwenda "15678" au kupitia Tovuti ya www.tuzozawatu.com powered by tuzozawatu @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @weusikampuni @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #tuzozawatu2015 #SupportYourOwn Kupiga kura andika code ya muigizaji unayempenda na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea www.tuzozetu.com. Piga kura kwa wingi zaidi, ujipatie nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zikiwemo tickets za safari ya ndege, ndani na nje ya nchi kutoka kwa wadhamini wetu Fastjet

FALENZY _ OPPORTUNITY ( New Audio )


Falenzy ni msanii wa Gospel Kenya ambaye kwa sasa amepata nomination Tatu katika Groove Awards ambapo wasanii ambao wamebobea Katika Gospel Music hutuzwa Kila mwaka nchini Kenya. Msanii huyu amepata nomination Tatu zikiwa Hip Hop song of the year, Collaboration song of the Year and New Artist of the year. Opportunity Ndio wimbo wake ambao umevuma sana na pia umefanyiwa remix akiwashirikisha Dee, Elsie Na Nellius ambao ni wasanii chipukizi. Pakua wimbo wa Falenzy hapa

NEWS: Wafahamu Zaidi STDZ


STDz stands for Street Delegates.TUMSIME and MSHUMBU are the members.Born in ARUSHA a.k.a CHUGA,Raised at SANAWARI crazy about Street Hip Hop. Bofya https://mkito.com/artist-profile/stdz/599 Kutembelea Profile na kupakua nyimbo zote za STD'z https://mkito.com/song/mida-inayeyuka/13421 https://mkito.com/song/hizi-mitaa/4501 https://mkito.com/song/pressure-remix-ft-lordizzy-stoparhymes-chindo-ladynaike-fidovato-lavosti-son/2231 https://mkito.com/song/pressure/2234 kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na STD'z kwa email stdzchuga@gmail.com @tumsime17 & @stephenmwenera powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com @j4cinyo @mkitodotcom @djhaazu @fredyze1 #SupportYourOwn #vmgafrica

NEWS: Fire Star, Mac Mc watwaa tuzo KVOOS Multimedia 2015



Orodha ya washindi wa tuzo za KVOOS 2015 Wasanii chipukizi wa muziki wa bongo flava nchini, Mac Mc na Fire Star wamefanikiwa kutwaa tuzo za KVOOS Multimedia Awards zilizotolewa mwishoni mwa wiki iliyopita Msasani jijini Dar es Salaam. Wasanii hao wametwaa tuzo hizo huku fire star akitwaa katika kipengele cha Best Upcoming Music Song kupitia wimbo wake ‘She is Beautiful’ huku washindi wengine wakiwa ni Producer P, Zungu la Floo na Myself ambapo Appliciation award imeenda kwa Mac MC. KVOOS Multimedia imetoa tuzo hizo ikiwa ni katika jitahada zake za kuinua vipaji vya wasanii wachanga wa muziki wa bongo flava kwani washindi wa tuzo hizo watapata fulsa ya kusambaziwa kazi zao bure na kampuni hiyo. Tuzo za KVOOS zilianza rasmi January 15, 2015 ambapo zoezi la upigaji kura lilianza kukiwa na vipengele vinavyohusisha muziki wa Hip Hop video na Audio pia Bongo flava kwa Video na Audio ambapo zoezi la kupiga kura lilikamilika March 29, 2015 ambapo zoezi la upigaji kura lilisitishwa na wasanii hao kuibuka washindi. Katika hatua nyingine Fire Star na Mac Mc wametoa shukrani zao za dhati kwa KVOOS kwa kuwathamini wasanii wachanga na kuwapa nafasi ya kushindania tuzo kama hizo walizotwaa huku akitoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano wa KVOOS.

Friday, April 24, 2015

NEWS: Ujio wa #ShuttUpDeejayz Arusha


The newest #DeejayBrand In Arusha @djp_tz & @djnoel255 under @batooentertainment @man_batoo @noizmekah ibuka kwenye #JamSession Every Sunday saa nane mchana hadi usiku Pale Milestone Club Sakina powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @mkitodotcom @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

ENEMWES - TABASAM ( New Audio )


kupakua wimbo wa Enemwes kwa jina "Tabasam" ikiwa ni Bongofleva Category toka @Noizmekah Studios chini ya @defxtro kwa mawasiliano zaidi check na ENEMWES kwa nambari +255 752 284 356 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

REAL JOFU FT NEY LEE - KUMBE NI NDUGU ( New Audio )




Singer Name:- Real Jofu ft Ney Lee Song Name:- Kumbe Ni Ndugu Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Studio:- Mazuu Records Hi, I hope you're doing well. This is brand new song from Mazuu Recordz by Artist -Real Jofu Feat Ney Lee track _ Kumbe ni Ndugu We thanks for promoting us everyday.. God bless you... kwa Mawasiliano Zaidi or Interview ;-Real Jofu_+255 715 505077 Or Joh Venture ;- +255 766 346778

Thursday, April 23, 2015

Wednesday, April 22, 2015

Tuesday, April 21, 2015

Monday, April 13, 2015

BIOGRAPHY YAWIKIHII: MJUE MWANDAAJI WA MUZIKI NOEL CHIPA ( CHIPA MAGNETO ) KATIKA MUZIKI.


Jina langu naitwa noel chipa, ama chipamagneto kamainavyojulikana kwa wengi ndilo jina nalotumia kwa wengi na ndilo jina nalotumia katika shughuli za kimuziki nilizaliwa January 01/1991 Ruvuma songeandipo nilipohitimu elimu ya msingi na sekondari baada ya kumaliza elimu ya sekondari 2008 nikajiunga na chuo cha RUAHAUNIVERSITYCOLLEGE kilichomo mkoani IRINGA na kusoma information technology{IT} Nilianzakujifunza shughuli hiinikiwa na umriwamiaka 14,songea-RUVUMA ambaponilijipatiauzoefuhuo katika studio ya ps record. Baada ya haponikaendeleakufanyakazi na studio tofautiikiwemo bantu music ambakonilifanya hits mbalimbaliikiwemo KITENGO MAALUM ya mac mc ambayoalimshirikishagnako kwasasanafanya shughuli zangu katika studio ya SWAHILI INCOPERATION ambayoiko TEMEKE- DAR ES SALAAM Kwa mawasilianopiga 0657661381 au 0657661382 au email directoramanzi@gmail.com Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafansi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

PNC - YULE YULE ( New Video )


Singer Name:- Pnc Song Name:- Yule Yule Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Director:- Saimako Hi, I hope you're doing well. This is brand new Video from The Big Apple by Artist -Pnc track _ Yule Yule We thanks for promoting us everyday.. God bless you... Follow me> https://twitter.com/johventure Or https://facebook.com/johventuremusic kwa Mawasiliano Zaidi ;- Pnc +255 655 478 963/Joh Venture +255 766 346 778

DIAMOND FT KHADIJA KOPA - NASEMA ( Audio + Rylics )


Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa. Wimbo unapatikana rasmi kupitia hapa. Pia furahia lyrics tamu kutoka kwa Diamond na Khadija Kopa. VERSE 1 Halloooo Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! CHORUS Nasema naweee x3 Uso haya nasema nawe Umezoea (nasema nawe) Chezea chezea (nasema nawe) Aaah!! Umezidi (nasema nawe) Zidi (nasema nawe) zidi (nasema nawe) VERSE 2 Mmmmmhhh, mmmh Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa Usio hiana fedhuri uongo umekuja Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa Tena jokali la nguvu makarata Lile hodari maguvu si kwasakwasa Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa CHORUS Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) Uso haya nasema naweee Nasema naweee x 3(nawew oh) Nimechoka nasema nawee Umezoea (nasema naweee) Chezea chezea (nasema nawee) Aaah!! Umezidi (nasema naweee) Zidi (nasema naweeee) Uso haya nasema naweee Oooohhh!!! (nasema naweee) Nasema nawee x 3 (nawew oh) Nimechoka nasema nawee….

RAY TEKNOHAMA FT NIKKI MBISHI, DIZASTA, GHETTO AMBASSODOR,BIGGIE BOSS,ONE THE INCREDIBLE,P THE MCEE,CLINT FIERCE,TRUBADOUR,PHILLY TECHNICS,SIX O'CLOCK,STEREO,SONGA,ZAIID SONG- THE GAME ( New Audio )


ARTIST- RAY- TEKNOHAMA FT NIKKI MBISHI, DIZASTA, GHETTO AMBASSODOR,BIGGIE BOSS,ONE THE INCREDIBLE,P THE MCEE,CLINT FIERCE,TRUBADOUR,PHILLY TECHNICS,SIX O'CLOCK,STEREO,SONGA,ZAIID SONG- THE GAME MOTO REC/TAMADUNI MUZIK

BLOOD POWER FT HD - GOMA ( New Audio )


kupakua wimbo wa "Blood Power" wakimshirikisha Mwanadada "HD" katika wimbo kwa jina "Goma" ikiwa ni BongoFleva Category,kwa Mawasilano/Mahojiano zaidi check na BLOOD POWER Kwa +255 764 965 568 au +255 768 490 592 powered by @vmgafrica #SupportYourOwn @defxtro --

MBIGIRI SQUAD - INAKUA NINI? ( New Audio )


kupakua wimbo wa "Mbigiri Squad" wakiwakilisha Karatu katika Game la Bongo,Ngoma inaenda kwa jina "Inakuwa Nini" ikiwa ni hiphop category toka @noizmekah, kwa mawasilano/mahojiano zaidi +255 655 531 090 & +255 766 155 428 powered by www.selengakaduma.blogspot.com, @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com #SupportYourOwn --

Thursday, April 9, 2015

COMING SOON: TUMIA DAKIKA 2 KUMSIKILIZA DOGO SCOPE AKIZUNGUMZIA UJIO WA TRACK YAKE MPYA


ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE SAANA KUACHIWA MZIGO MPYA TOKA KWA MWANAMUZIKI DOGO SCOPE AKA FRESH ANDY, TOKA MAFINGA IRINGA, LEO AMEWEZA ZUNGUMZIA YALIJIRI JUU YAUJIO WA NYIMBO YAKE HIO ITAKAYOKWENDA KWAJINA LA EMBE DODO. SIKILIZA KWAKUBOFYA HAPA CHINI.

JITI TARAA -FT AYLER & LEAN JAZZ - BONGO SUPERSTAR ( New Audio )


MSANII CHIPUKIZI WA HIP HOP JITI TARAA BAADA YA KUTAMBA NA NGOMA YAKE YA WANGAPI SASA AMEKUJA NA NGOMA MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA BONGO SUPERSTAR ALIYOMSHIRIKISHA MWANADADA AYLER ALIYEWAHI KUTAMBA NA NGOMA YA MSAMAHA PIA YUPO ICON JAZZ KWENYE HIYO NGOMA IMEFANYIKA DM RECORDS CHINI YA MTAYARISHAJI MAHIRI DR. REGGY. KWA MAWASILIANO NA JITI TARAA CHEKI NAE INSTAGRAM @jiti_taraa_msuya FACEBOOK jiti taraa flowz kateta au WATSAPP thru 0717060121.

DOWNLOAD MIXTAPE YA WAKAZI HAPA Live From Stakishari. ( New Audio Mixtape )


Wakazi drops the long awaited mixtape "Live From Stakishari". Link: https://mkito.com/search/?name=live+from+stakishari This is the 5th mixtape since he started droping them and from the release of the earlier tracks like, "Dengue Fever", "One Day Yes", "Usinshike Mkono" and "Kwa Mtogole". Wakazi is currently in preparations to finish off his debut album and his international releases all set to drop this year.

Monday, April 6, 2015

BIOGRAPHY YAWIKIHII: MJUE MTANGAZAJI BORA NA MAARUFU ZAIDI NCHINI ALIKOTOKA NAALIPO KWASASA - MILLARD AFRAEL AYO.


Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa Millard, alimuanzisha shule akiwa mdogo sana na hatimae kumaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 12 tu, akamaliza form four akiwa na miaka 16 mwaka 2002, sehemu zote hizo yeye ndio alikua mdogo kuliko wote darasani kuanzia Patandi Primary School Tengeru, Akeri Secondary School na Mbezi beach high school. Wakati akisubiri majibu, Millard alijiunga na Arusha College of Electronics na kusomea ufundi wa kutengeneza satelitte dish, tv deck na radio masomo ambayo aliyamaliza na aliyasoma kwa sababu ilikua ni kazi ya pili aliyoipenda, baada ya hapo mama yake mzazi alishawishiwa na marafiki zake ili Millard arudishwe shule kuendelea na masomo ya sekondari kitu ambacho alikikubali lakini hakikua na mapokezi mazuri kwa Millard kwa sababu yeye alihitaji kufanya kitu kingine kwa wakati ule. Mambo yalibadilika pale uncle wake aitwae Gabriel aliekua Marekani aliporudi Tanzania na kumshawishi mama Millard amuache mtoto afanye kile anachotaka na anachokipenda, hapo ndipo Millard akapata nafasi ya kwenda kujiunga na East Africa Training Institute kusomea utangazaji na uandishi wa habari mwaka 2004. Baada ya mwaka mmoja Millard alijiunga na TVZ Zanzibar kwa muda wa miezi mitano na akarejea Dar es salaam April 2005 kutafuta kazi baada ya hali kuwa ngumu kwenye familia na kukosa pesa kwa ajili ya kujiendeleza na masomo. Alifanikiwa kupata kazi May 23 2005 kwenye kituo cha Wapo Radio 98.0 ambayo aliambiwa hatolipwa kwa sababu kanisa lililokua linamiliki radio hiyo halina pesa ila kwa sababu alikua na njaa ya maisha na kazi ilibidi aifanye kama ameajiriwa, kazi ilikua jumatatu mpaka jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi huku kazi yake kubwa aliyopangiwa ni kukusanya habari za bei za bidhaa na hali ya usafi kwenye masoko Dar es salaam, pia kwenda kitengo cha MOI Muhimbili hospitali kuchukua habari za majeruhi na vifo vya ajali mbalimbali. Kutokana na jitihada hizo Millard alianza kulipwa shilingi elfu tano kwa wiki mwezi wa pili baada ya kazi hivyo akawa na mshahara wa elfu 20 kwa mwezi, mshahara ambao uliongezeka na kufikia elfu 20 kwa mwezi kwenye mwaka wa tatu na wa mwisho akiwa Wapo Radio. Baada ya hapo Millard alijiunga na ITV/Radio One mwaka 2008 ambako alisikika kwenye vipindi mbalimbali lakini MILAZO 101 na habari za michezo ITV ndio vilimpa umaarufu mpaka November 2010 alipojiunga na Clouds FM/TV na kuanza kusikika kwenye kipindi cha AMPLIFAYA december 6 2010 na baadae kukabidhiwa CLOUDS FM Top 20 June 2013. Mpaka sasa Millard Ayo ni mmiliki wa tuzo 4 ikiwemo ya Mtangazaji bora 2006 kutoka Tanzania Radio Awards, Website bora 2012 kutoka Vodacom Tanzania na African Stars, na moja ni ya heshima akiwa mwandishi pekee kutunukiwa kutoka kwenye familia ya Marehemu mwigizaji Steven Kanumba. Kipindi cha AMPLIFAYA pamoja na website yake ya millardayo.com ndio vilivyofanya ukubwa wa jina lake uongezeke. Kitu ambacho watu wengi hawakifahamu, kipaji cha Millard Ayo kilionekana kwanza na aliyekua mtangazaji wa TBC1 Joseph Msami ambae kwa wakati huo ndio aliona uwezo wa Millard na kumshawishi boss wa Wapo radio kutoa ruhusa ya Millard kuingizwa studio kuwa mtangazaji na sio tena ripota. Mtu wa pili ambae ndio alizidi kumnyanyua Millard kiutangazaji ni Godwin Gondwe ambae alimuona Millard toka akiwa Wapo Radio, kwanza ndio alikua mtu wa kwanza kumpa Millard dili la kurekodi tangazo la radio la bei kubwa 2007 toka ameanza utangazaji, lilikua la laki moja na nusu za Kitanzania na ndio ilikua pesa kubwa Millard kuwahi kulipwa kwa kazi ya mikono yake toka azaliwe, na ni pesa kubwa kuliko hata mshahara wake kwa mwezi wakati huo ambao ulikua shilingi elfu sitini. Shukrani za pekee kwa Reginald Mengi, Joyce Muhavile, Julius Nyaisanga, Deogratius Rweyunga, Abdallah Mwaipaya na Isack Gamba ambao walikua kama wazazi/marafiki wakati Millard akiwa ITV, pamoja na kwamba kwa sasa hayupo ITV lakini urafiki wao haujaisha na Millard amekua balozi wao mzuri Watu wengine waliomfikisha Millard hapa alipo kwa kiasi kikubwa ni Gardner G Habash ambae wakati Millard akiwa Wapo Radio alimsaidia sana kumpa nafasi ya kusikilizwa Clouds FM ambako alipata kazi ya kuanza na kipindi cha gospel lakini wiki hiyohiyo ndio akaitwa ITV, Reuben Ndege nae alicheza kwenye uwanja mkubwa zaidi kumsuka Millard Ayo alipojiunga na Clouds FM na alijaribu sana kumshawishi Millard kujiunga nao wakati akiwa Radio One, kiukweli siku zote amekua msaada mkubwa wakati wote na supporter mkubwa kwa Millard. Sebastian Maganga ambae ni mkuu wa vipindi Clouds FM amekua msaada mkubwa sana kwa Millard Ayo, mshauri na hata ndugu ambae ni msikilizaji mzuri sana pale Millard anapozungumza nae na ndio alipendekeza Millard kuchukuliwa Radio One wakati huo. Ruge Mutahaba amekua boss, kaka, mshkaji na mshauri wakati wote kwa Millard Ayo, kwa kiasi kikubwa pamoja na kwamba alitoa idhini ya Millard kujiunga na familia aliyokua anaipenda kwa zaidi ya miaka 10, amekua ni msaada mkubwa sana kwa Millard, kuna vitu vingi Millard alikua anasema hawezi lakini Ruge amempa neno na kumpa nguvu kwamba anaweza na ndio mafanikio ya Millard yameanza kuonekana hapo. Big Boss Joseph Kusaga ambae ndio MD wa Clouds FM, nae amekua mshkaji, boss na kaka kwa Millard Ayo, nguvu ya neno lake kwamba ‘i’am proud of you’ pekee ndio linampa Millard Ayo nguvu kubwa ya kujituma zaidi na kutumia saa kadhaa kuandaa vipindi vyake siku zote na kujituma zaidi. kwamawasiliano Unaweza mpata kupitia stori@millardayo.com Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafansi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

COMING SOON YA LEO: FRESH ANDY AKA DOGO SCOPE KUJA NA EMBEDODO BAADA YA CHAUSIKU.

MWANAMUZIKI FRESH ANDY AKA DOGO SCOPE TOKA MAFINGA, ANATARAJI KUJA NA WIMBO MPYA HIVI PUNDE BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU TANGU CHAUSIKU. WIMBO HUO ULOFANYIKA CHINI YA STUDIO ZA CHRIS RECORDS - PRODUCER KENNY, UNATARAJI INGIZWA RASMI MTAANI TAREHE 13/04 MWAKAHUU. MWANAMUZIKI HUYO AMESEMA TRAKI HIO IPO TAYARI NA IMEKAMILIKA KINACHONGOJEWA NITAREHE TUU YAKUACHIWA. USIZUBAE MTUANGU UTAKUA WAKWANZA KUUPATA HAPA HAPA PUNDE WIMBO HUU UTAKAPO ACHIWA.

Saturday, April 4, 2015

Thursday, April 2, 2015