KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, March 16, 2017

MC KOBA FT NEY - MAPENZI PESA | Audio

Heshima yako ndugu, Hii inaitwa MAPENZI PESA  niliifanya kitambo kidogo na brother NAY WAMITEGO, haikuwa kwenye list official kutoka kwa kipindi hiki ila nimeikuta somewhere nikaona before haijasambaa sana kwa mtindo wa kuvuja nikaona nisambaze tu wakati najiandaa kwenda na ratiba.

NIMANENO TOKA KWA MC KOBA MWENYEWE.

Kind regards 
Mc KOBA 
@kobamctz 

https://my.notjustok.com/track/download/id/195046