
Baada ya umoja wawasanii wanawake wakiwemo waigizaji nawatangazaji pamoja na wanamuziki wakike Tanzania kufanya Nyimbo yao yapamoja yakupinga unyanyasaji wakijinsia kwa baadh ya watanzania wakiwemo walemavu wangozi, sasa wameanza mkakati wakuandaa video yao yapamoja iitwayo SIMAMA NAMI. Baadhi ya picha...