KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, June 23, 2015

LANGA FT SANAIPEI - WAZAZI WANGU ( New Audio )


Pakua wimbo mpya wa Langa "Wazazi Wangu" akimshirikisha Sanaipei kutoka Kenya Wimbo huu ni wimbo wa tatu kati ya nyimbo saba kuachiwa katika albam yake baada ya "Matawi Ya Juu" na "Hip Hop", albam iliyotengenezwa na Producer Tedd Josiah kutoka nchini Kenya

NEWS: DJHAAZU AJIUNGA NA RADI 5 RASMI


By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organizer and IT Tech kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu.Ahsanteni wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah. NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea Radio 5 FM frequencies: Arusha 105.7fm Dar 91. 3Fm Mwanza 92.5fm Mbeya 93.8fm Dodoma 88.6fm Morogoro 94.8fm Tanga 98.9fm Mtwara 94.5fm Kigoma 87.7fm