KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, March 2, 2014

LONKA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA KTMA 2014

LONKA NI ARTIST TOKA IRINGA ANAEFANYA VIZURI SAANA KATIKA TASNIA YA MUSIC DAR NA TANZANIA KWA UJUMLA. HII IMEDHIHIRIKA BAADA YA KUPATA CHANCE YA KUINGIA KWENYE NOMINATION ZA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS MWAKA 2014, KWA KUINGIA NA WIMBA WA HAKUNA MATATA KAMA WIMBO BORA WA RAGGAE. HIVYO MDAU UNAOMBWA SAANA...