KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, February 27, 2015

KHALIGRAPH JONES - SONGEA ( New Audio )


Msanii maarufu wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anakuletea wimbo wake mpya SONGEA ambao kwa sasa umeshika chati za Kenya. Khaligraph ni msanii anayetambulika sana KENYA na pia amewahi kuwashirikisha wasanii wakubwa wa nchini Kenya pamoja na nje ya Kenya.

HONE CLASSIC - WE MAMA ( New Audio )


Kupakua wimbo wake kwa jina "We Mama" ikiwa ni BongoFleva Category toka Noizmekah Studios chini ya @defxtro,kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na HONE Classic kwa nambari +255 767 861 349 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn #vmgafrica --

VIDEO YA FID Q KUINGIA MTAANI RASMI TAREHE 1 MARCH ( Coming Soon )


Mwanamuziki Nguli wa Hip Hop Tanzania Fareed Kubanda aka Fid Q, anataraji Ingiza mtaani video ya Wimbowake uitwao Bongo Hip Hop ilofanywa na Director Nisher Jumapili ya tar 1/3/2015. Uzinduzi wa video hio unataraji fanyika katika ukumbi wa club Billz jiji Dar es Salaam. Hayo yameweza thibitika baada ya msanii huyo kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram "Ok .. Deni kwisha..!! Billz ndiko kioo kitaonekana kwa mara yakwanza.. 1/3/15 <- save the date," Hiyo inataraji kua nivideo yake yakwanza yawimbo wake mwenyewe tangia ile ya SIHITAJI MARAFIKI Iliyotoka zaidi ya miaka Miwili iliyopita. Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

HATIMAE CHID BENZ AACHIWA HURU NA MAHAKA KWA KESI YA MADAWA YAKULEVYA.


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jana imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. ChidBenz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyere Jijini Dar es Salaam akiwa na madawa yakulevya aina ya bangi na Heroin. Mwanamuziki huyo ambae alikiri kosa hilo wiki ilio pita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa amejitayarisha kupanda ndege kwenda Jijini Mbeya kwenye Tamasha la Muziki. Sasa CHID BENZ kawa HURU kuanzia tarehe 26/02/2015 baada ya mahakama kutoa hukumu ya kifungo cha miaka Miwili jela, ama kutakiwa lipa fain ya pesa taslim Tsh 900,000/= Ambayo ililipwa mara moja nakumfanya kuwa huru.

PAKUA HAPA MIXTAPE ( Kanda Mseto ) YA P THE MC & ZAIID


P The MC pamoja na ZAiiD leo wameachia kanda mseto mpya kwenye tovuti ya Mkito. Sasa unaweza kupakua mix tape hiyo ya @pthemc na @zaiidyao inayoitwa "MWENGE KIWALANI" Kwa kuingia kwenye link hii hapa https://mkito.com/artist-profile/p-the-mc-na-zaiid/1076

IZZO B FT SHAA - KIDAWA ( New Video )


Official Music video for Kidawa performed by Izzo Bizness featuring Shaa, directed by Nick Dizzo of Focus Films,Tanzania . Produced by Dupy at Uprise Music and Mastered by Master J at MJ records. in Dar es Salaam, Tanzania. You can also Listen and download Kidawa Audio here http://bit.ly/1FNXhjM Follow Izzo Bizness on; Twitter: https://www.twitter.com/izzo_bizness (@izzo_bizness) Instagram: https://www.instagram.com/izzo_biznesss (@izzo_biznesss) Facebook: https://www.facebook.com/Izzo