KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, November 27, 2015

NAY WAMITEGO - NYUMBANI KWETU ( New Audio )


Mkito.com inakuletea exclusive kutoka kwa Mr Nay Wamitego. Wimbo unaitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Pakua hili pini hapa: