FAHAMU UJIO MPYA WA ALBUM YAKWANZA YA NEELLY B AMBAYO INATARAJI TOKA MWAKA HUU 2015.
#FAHAMU, Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake uliomtambulisha katika sanaa ya Hip Hop nyanda za juu kusini, rapper na mtangazaji wa kituo cha radio cha nuru fm mkoani iringa ndugu @NellyBee [nelly calocy msamilla] anatarajia kuja na project yake mpya hivi karibuni, kupitia akaunti zake za facebook na instagram rapper huyo amewaambia mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake mpya utaokwenda sambamba na album pia, kupitia picha ameweza kuonesha kuwa kuna watayarishaji wakubwa kama producer @PANCHO_LATINO wa B HITS MUSIC GROUP na producer @DUPYLILAI wa uprise music wakashiriki kutengeneza album hiyo ambayo mpaka sasa yeye mwenyewe hajataja jina la album hiyo.iringaTZA
— with Nelly Calocy Msamilla.