Ndani ya muda mfupi tumeweza kuwafikia watu wengi kimuziki na pia wasanii wengi wameanza kuona matunda ya kazi zao kupitia mauzo ya online. Wa kwanza wa kumshukuru katika hili ni wewe mwenye blog. Asante kwa uzalendo wako na pia kwa kutoa support kubwa katika kuuendeleza muziki wa Kitanzania. Bado...
Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records...