KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, September 18, 2015

DOCUMENTARY: KUTANA NA NGUZO YA #01 ( Break Dance ) YA HIPHOP KATI YA NGUZO #09 ZASASA TOKA KWA WITNESZ KIBONGE MWEPEC

HILI NIDARASA HURU KWA WANA HIPHOP WOTE DUNIAN, KUHUSIANA NA NGUZO ZA HIPHOP. DARASA HILI LIMEANDALIWA KWAMFUMO WA SAUTI NA MWANAMUZIKI WA HIPHOP WAKIKE TANZANIA WITNES MWAIJAGA AKIJULIKANA KAMA WITNESZ KIBOMGE MWEPEC. LEO AMEANZA KWA KUELEZEA NGUZO YAKWANZA KATI YA TISA AMBAYO NI BREAK DANCE. IKUMBUKWE...