KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, August 23, 2013

Je Unamjua Up Comming Artist Tajiri Kuliko wote Nyanda za juu kusini?

 Anajulikana kwa jina la Mgc-Mtata, Pichani hapo ambae Kaanza Music 2010 Rasmi kwa kurekodi wimbo uitwao Siamini, akiwa kamshirikisha Ibra na ukiwa umefanyika Rainbow records kwa Temi G wakati huo, badae ikaja Hip Hop Michano, Hatimae 2012 kuchomoka na Song La  Kauli, ft Smacka Mtata, Chini ya Producer Kb Keruz  AB records Iringa.
 Moja ya Miradi anayomiliki Mgc Mtata, Music Library ndogo iliopo Ifunda-Iringa.
 Shule ambayo anzidi Ijenga kwa sasa Ifunda ikitegemewa kuja kua ya Secondari.
Ofisi yake ya sasa Iliopo Ifunda Ambapo Anashule ya watoto wadogo Kindagaten, Iitwayo THE SKY ENGLISH MEDIUM, yenye huduma ya Boding na Day, Pia Kwa sasa ana Darasa la QT, pamoja na Risitazi, wa mtihan wa kidato cha nne. Kaajiri zaidi ya wafanyakazi 15 ambao ni walimu walezi wa watoto, nesi, Dereva wa shule na wengineo. Huu anadai ni mwanzo tu kwan anandoto ya kuja jenga mpaka chuo.
Pia anamiliki Daladala ya Ifunda - Iringa Mjini, Na baadhi ya boda boda zilizoko Mafinga, Ifunda na Iringa.

Je unataka jua zaidi nini Mgc Mtata anafanya kwa wakati huu, na amewezaje Mudu Miliki shule yenye dhamani ya zaidi ya 100Million? huku akiwa mjasiliamali wa kawaida tuu? Ungana nami kwa toleo lijalo la Mgc Mtata.

Kama imekugusa na umejifunza kitu waweza tutupia maoni yako kataka facebook, Selenga Kaduma
Au Mail, Selengakaduma@gmail.com
Ama unaweza tupigia kwa namba yetu +255 757 36 30 05.
Siku Njema.