KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, July 14, 2015

G-PLAN - RUDI NYUMBANI ( New Audio )


kupakua wimbo toka kwa G Plan-Rudi Nyumbani na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check G PLAN kwa nambari +255 762 259 020 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

#DefQuotes #WazoLaDefxtro


Kumekucha! follow @defxtro #ishiukweli #wazoladefxtro Ujamaa umetusaidia Hatutembei Uchi, Ubepari Utatusaidia iwapo tutajitegemea kama Nchi .. Maana Halisi ya Kuuza Sura ni Kujituma kwenye Jambo Lisilo na Maslahi ya Kifedha kwako. MUZIKI ni kazi na USTAA ni Vazi..Fanya Kazi.

TANZANIA MPYA - MWANA FA, CHRISTIAN BELLA, NIKKI WA PILI, & RUBY ( New Audio )


Collabo mpya kutoka kwa wasanii wanaosikika nchini sasa Mwana FA, Christian Bella, Nikki Wa Pili na Ruby. Wimbo unaitwa TANZANIA MPYA na melody imeandikwa na Ditto wa THT. Jikoni si wengine bali ni wakali P Funk Majani na Lamar.

TG - GBAM GBAM ( New Audio )


Song - Gbam Gbam Artist - TG Genres - Afro Pop | Dance Hall | BongoNaija Flavour Producer - Wiz Cassa (Tanzanian) Studio - Jumbo Sounds (Recorded & Mastered by Jumbo Beats) Nigeria Contacts - https://www.facebook.com/pages/Joker-Gang/357080594391111 http://www.jumbobeatz.com/ https://www.facebook.com/wizcassatouchez AUDIO LINK - https://soundcloud.com/jokergang215/gbam-gbam-