
Brian Deacon ndani ya filamu ya "JESUS" Mwaka 1979.
Ikiwa leo ni siku chache ambazo zimebakia kuelekea tar 25/12 yakila mwaka ambapo wakristo wote ulimwenguni wanakumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo kama mkombozi wa ulimwengu, Yesu Kristo aliyekuja duniani takribani miaka 2000 iliyopita.Ukurasa huu...