Ommy-Dar - Hofu | Audio Posted by NAOMIKADUMA On 2:19:00 PM Msanii Ommy Dar ameamua kuja na ujio mpya wa wimbo wake unaitwa Hofu wimbo umetayarishwa na Producer Silley kutoka Recording label ya Sampamba music[S.M.G] iliyopo nchini Tanzania Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha download hapa chini Kuusikiliza ukiwa online gusa hapa chini Read More Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg