KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, December 31, 2016

Trubadour - Mahakama ya mwanzo | Audio

Track- MAHAKAMA YA MWANZO
Artist- TRUBA
Produced by Proba
Time records





Huu ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya utamaduni wa HIP HOP na kutoa mwongozo wa jinsi muziki wa HIP HOP unavyotakiwa kufanywa. Wimbo huu ni utangulizi wa wimbo utakaotoka mwezi wa kwanza nilioshirikiana ya msanii YOUNG KILLER pamoja n LAYLA toka THT. KAULI MBIU YETU. #RUDI KUNDINI# WE OWN GAME.


https://my.notjustok.com/track/download/id/165870