
Kama ilivyo ada Dj Maarufu Nchini Dj Choka,kutoa nyimbo zake kwa kuwaimbisha wasanii kadhaa nchini,Hivi punde anataraji tua Mtaani na ngoma mpya Itakayokwenda kwa jina la NITALALA UZEENI. Hayo yameweza dhihirika hii leo Baada ya Dj huyo kuweka kipande kidogo cha video kwenye Ukurasa wake wa Istagram...