KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, March 22, 2015

Mandela the Sniper ft Zax 4real - Pata Nuru ( Audio )

artist from iringa mwenye dreams ya kuipeperusha bendera ya iringa national wides WIMBO: POATA NURU. STUDIO:BANTU RECORD (BEAT) AND GREEN RECORD (VOCAL) CONTACT:0759340650 0713423646 0687263293 EMAIL:mandelamdindile@gmail.com FACEBOOK: mandela mdindile. PLACE: IRINGA.

JOKATE FT ICE PRINCE - LEO LEO ( New Audio )


Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kuachia suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince na kutengeneza Mkito Mpya wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina LEO LEO! Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas Jikite hapa