KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, February 1, 2016

INSPECTOR HAROUN FT JAY MOE & IBRA - JANUARY TO DECEMBER ( New Audio )


Inspector Haroun amerudi tena na safari hii yupo na Ibra na Jay Moe kwenye wimbo mpya January to December! "Shkamoo Januari nasema bye bye, pilau na wali tutaonana Februari" ndivyo inavyoanza verse ya babu. Burudika na wimbo huu hapa >