Julio Batalia aja na Mkito Mpya uliotengenezwa na Dj Maphorisa pamoja na Uhuru kutoka Afrika Kusini - Tetemesha!
Link > https://mkito.com/song/tetemesha/1395...
Baada ya single yake ya kwanza NAIYE, Msanii Wiista kutoka NGOMA Entertainment aachia single yake ya Pili iitwayo Once Chance ambayo ni sehemu ya Album yake itakayotoka katikati ya mwaka huu. ...