KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, March 3, 2015

NUNUA T-SHIRT TOKA SAMPAMBA MUSIC GROUP ( SMG ) KAMA SEHEMU YAMCHANGO WAKO KUINUA AUDIO PRODUCTION IRINGA..

Bidhaa mpya ya S.M.G Sampamba Music Group .popote ulipo tutakufikishia .tuungane mkono ndugu zanguni kwa Tsh 30,000/= na Tsh 25,000/= Ukinunua moja umeongeza nguvu kubwa sampamba music Ni zenye ubora wa hari ya juu sana kama mziki wa sampamba music Zinapatikana kwa sim no 0763231052 au 0658088440 Au...

PX ft J Deal-Muonekano ( New Audio )

Bofya HAPA http://goo.gl/V33kcW kupakua wimbo wa PX ft J-Deal katika BongoHipHop Category ya kazi kwa jina "Muonekano" na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na PX kwa nambari +255 684 285 259 powered by www.vmgafrica.com @noizmekah @vmgafrica #SupportYourOwn...