KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, September 23, 2015

COMING SOON: CHRISBEE KUJA NAVIDEO MPYA HIVI KARIBUNI.

Asante sana mkuu kwa ku-support vitu vya nyumbani mkuu... #Repost @selengakaduma with @repostapp ・・・ Cooming soon.. Spanking new Video Artist:- Chris Bee ft Petronia - Bashee Directed by Nicklass, Audio produced by Kona Bante Beatz.... 👯👯👯👯 A video posted by CHRIS BEE (@chrisbeeofficial) on Sep 23, 2015 at 12:06am PDT KATIKA PITA PITA ZANGU INSTAGRAM NIKAKUTANA NA DALILI ZA UJIO WA VIDEO...

COMING SOON: UJIO WA ONLINE RADIO TOKA KWA RENATUS BIZZO KILUVYA WA RFA.

RENATUS BIZZO KILUVIA ATARAJI KUJA NA RADIO YAKE ONLINE. ZAIDI CHUNGUZA ALICHOKITUPIA KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRA HAPA CHINI. #Homradiostudio is done..NOW its time for my Online Radio Shows..tegemea shows kali sana online..shows ambazo niliota kuzifanya since 15 yrz ago..then watu wangu...

COMING SOON: SKILLS KUJA NAMZIGO MPYA OCTOBER 14. 2005

MWANAMUZIKI SKILLS MKALI WA MIONDOKO YA HIPHOP, ANATARAJIA KUTUA NAMZIGO WAKE MPYA OCTOBER 14 2015 MTAANI. MWANAMUZIKI HUYO AMBAE INSTAGRAM ANATUMIA JINA LA @SKILLS32 AMEZUNGUMZA MOJA KWAMOJA NA BLOG YETU KUA WIMBO HUO UMEFANYIKA KWA C9 DAR ES SALAAM, HUKU NDANI IKIWEMO SAUTI YA FB7 NA SNAIDA KWENYE...

JOO HARAKATI FT WALTER CHILAMBO - SEPTEMBER 14 ( New Audio )

Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa...

NAKAAYA FT DUNGA - UTU UZIMA DAWA ( New Audio )

"Its a song expressing my freedom from the chains that held me back as a woman and an individual. Its a song reminding me of my mothers advice.It does not matter how many times or how hard you fall. Its how you get yourself back up. I am now a proud single mom, happy and thankful to have and...