Song - mnipokee
Arts - Poison ft Stamina & keenny
Producer - Vennt skillz
Kwanza Records:
Ni msanii mdogo sana ki umri, anautwa Immanuel maarufu poison. Hii ngoma uake ya kwanza amemshirikisha stamina na Mkali wa R $ B Morogoro Kenny.
Anaishi katika mazingira magumu sana kwa kweli, anahitaji sana msaada wa wadau ili aweze kufikia malengo yake. Ukiwa kama mdau tunakuomba kumsaidia katika hili.
Wasiliana nami
Ahmadi Machaku: 0717b 51 96 52
Adili Omari :0719 926 957
Producer Vennt:0653 361 070
Ao watu wamejitolea kumsapot.