KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, March 7, 2015

GENERAL NEWS: Studio mpya za Azam TV unaweza ukazifananisha na za CNN, Aljazeera, ama BBC

Uzinduzi wa studio mpya za kisasa za Azam TV zilizoko eneo la Tabata Relini, jijini Dar es salaam umefanyika leo.
Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando ambao ndio wamiliki wa Azam TV, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa studio hizo zimegharimu zaidi ya bilioni 56.

Studio mpya za Azam TV

“Ni studio ambazo labda unaweza ukazifananisha na kampuni kubwa kama CNN, Aljazeera, BBC, na kwakuwa za kwetu ni mpya zinaweza kuwa na ubora kuliko hizo,” alisema Tido.