KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, April 13, 2015

DIAMOND FT KHADIJA KOPA - NASEMA ( Audio + Rylics )


Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa. Wimbo unapatikana rasmi kupitia hapa. Pia furahia lyrics tamu kutoka kwa Diamond na Khadija Kopa. VERSE 1 Halloooo Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! CHORUS Nasema naweee x3 Uso haya nasema nawe Umezoea (nasema nawe) Chezea chezea (nasema nawe) Aaah!! Umezidi (nasema nawe) Zidi (nasema nawe) zidi (nasema nawe) VERSE 2 Mmmmmhhh, mmmh Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa Usio hiana fedhuri uongo umekuja Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa Tena jokali la nguvu makarata Lile hodari maguvu si kwasakwasa Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa CHORUS Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) Uso haya nasema naweee Nasema naweee x 3(nawew oh) Nimechoka nasema nawee Umezoea (nasema naweee) Chezea chezea (nasema nawee) Aaah!! Umezidi (nasema naweee) Zidi (nasema naweeee) Uso haya nasema naweee Oooohhh!!! (nasema naweee) Nasema nawee x 3 (nawew oh) Nimechoka nasema nawee….

0 comments:

Post a Comment