KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, September 30, 2015

COMING SOON: BAADA YAKIMYA KIREFU SASA MABESTE KUTUA NA VIDEO MPYA TAR 2/10

Ijumaa ya tare 2/10 Utaungana nami hapa www.selengakaduma.blogspot.com Kua wakwanza kuiona video mpya ya Mabeste akiwa kamuweka Video Queen Mkekewe Lisa. Sitosita kua wakwanza kukusogezea Hii. TIZAMA KIONJO KIDOGO KWAKUBOFYA LINKI HAPO CHINI https://www.facebook.com/selenga.kaduma/videos/1157...

COMING SOON: UJIO WA CHIZIKA APPS, HII NIHABARI NJEMA KWA MASLAHI YA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA

Official Launch of Chizika App 2nd October 2015. Share, Stream, Enjoy and download music you like easly with Chizika. cc @chizika.app Utaweza kuuza album, single na mixtapes fan wako akiwa anatumia chizika app. kwa download 1 itakua ni 250 ndani ya tz na msanii anapata 60% na nje ni 0.5$ na msanii...

TRUBADOUR - RAISI NI? ( New Audio )

artist- Trubadour Track- RAISI NI Wimbo unaoelezea maisha ya watanzania walio wengi na kutoa mawazo chanya katika ufanyaji maamuzi ya kumchagua kiongozi mkuu wa nchi atakayegusa matatizo waliyonayo sio kwa ajili ya ushabiki. watu wote wanatakiwa kujivisha uhusika wa wimbo huu na kufanya maamuzi...

JOJO - NAKUHITAJI ( New Audio )

Mambo vipi wadau? Dada yetu, mshkaji flan amazing anaitwa JOJO anaomba support yenu katika kazi yake mpya. Ni audio. Jina la Wimbo | NAKUHITAJI Jina la Msanii | JOJO Jina la Studio | KALI NATION Jina la Producer | JAYSSON Instagram | jojo_le_swt Whatsapp | 0785850964 ...

BEN POL FT AVRIL & ROSSIE M - NINGEFANYAJE ( New Audio )

Anayejulikana kama undisputed king of RnB BEN POL amerudi tena baada ya kibao chake Sofia na kukuletea wimbo wake mpya aliyomshirikisha AVRIL. Usipitwe na hit mpya kutoka kwa BEN POL - NINGEFANYAJE? _______________________ The undisputed Tanzania's King of RnB is back with a Brand new RnB Ballad...