Background information
Birth name Edwin Mujuni Kamuntu
Also known as Muntu Muntu Bby, The Amazing Sound
Born March 23, 1988(age 27)
Temeke, Dar es salaam City, Tanzania, Africa.
Origin Bokoba, Kagera, Tanzania, Africa.
Genres
Hip hop
Occupation(s) Rapper, record producer
Years active 2005–present
Labels
Muntu Muntu music Lab,Tetemesha Entertainment, Tabasamu Music Distribution, Jam Vibe ,Inc., Home BoyEntertainment
Associated acts Q-Bass O-Ten, Dulayo, Squezer,Late Geez Mabovu, , Stanna, Real Mc
Edwin Mujuni Kamuntu (born March 23, 1988) better known by his stage nameMuntu Muntu Bby, is an African(Tanzania) rapper and record producer active in the late 2005s through the 2009s, best known for being the mentor of Muntu Muntu Bby. Muntu Muntu is also known as the Amazing sound through song called "The Amazing Sound" that featured a young Stanna in 2010. As The Muntu Muntu, he had success with his 2010single "Ahadi yangu Kwako" from the debut album Gangilonga Jeshi La Wokovu ft Squezer. Where he was credited as Muntu Muntu. He also produced the single "Touched by God" from Haleluya Hip Hop Band.
Edwin Mujuni Kamuntu(kazaliwa March 23, 1988) Anafahamika zahidi kwajina la Muntu Muntu Bby,ni Mwafrica ( Tanzania) ni mwimbaji(rapper) na Mtayarishaji wa muziki(record producer) ameanza kazi ya muziki 2005s japo amejulikana zaidi kuanzia 2009s, Muntu Muntu anajulikana pia kwajina la Amazing sound kupitia winbo ulioitwa “Amazing Sound” alioshilikiana na mwanamuziki ajulikanae kwajina la Stanna in 2010.Kama muntu muntu alianza kupiga hatua baada ya kupata nafasi ya kushirikiana na wanamuziki ambao tayari washafahamika katika tasinia ya muzika kama vile Squezer, Dullayo, O-Ten, Tash, Bahati Bukuku,Boni Mwaitege,Balnaba,Late Mangwea,Lat Geez mabovu,Mau mwanadadapeke kutoka kikosi cha mizinga,Darasa pamoja na rapper Stamina.
Muntu Muntu kwasasa Anafanya kazi chini ya Studio yake Mwanyewe Ijulikanayo kama Amazing Record iliyopo Mbeya .Chini ya usimamizi wa Manager Erick na wazamini kutoka RS-880 pia anafanya kazi zake na kampuni ya kutengeneza video ijulikanayo kama Rebirth Chini ya Direcor Andrew Kagusa.
Mawasiliano
Contact No,
0753-532877
0715-845421
0787119129
Email address
edwinkamuntu@gmail.com
kamuntuedwin@rocketmail.com
Another contact
Facebook Mujuni Kamuntu
Whatsapp Muntu muntu (0715-845421)
Instagram Mujuni kamuntu
Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUN...
Monday, March 30, 2015
NEWS: MWANAMUZIKI LONKA TOKA IRINGA BAADA YA KUKOSA TUZO MWAKAJANA, KAPATA TENA SHAVU LAKUPENDEKEZWA KUWANIA TUZO ZA KTMA 2015
Posted by NAOMIKADUMA On 7:36:00 PM
Namna ya Kumpigia kura lonka aingie kwenye tuzo za KTMA2015 kili awards kwa wimbo beautiful smile kama wimbo bora wa raggae kwa njia ya whatsapp 0686528813 #Tumia njia hii 👇
LONKA
1.WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
JINSI YA KUPENDEKEZA save hii no-0686528813
2. ukisha save namba unatuma sms kwenye ukurasa wako wa whatsapp kupitia iyo no uliyosave andika neno "KTMA " kisha send ilo neno
3. Wakikujibu unaandika sw
4. Mfano 26/06/1992
5. 14 Lonka-beautiful smile
Tuma kila siku mara nyingi uwezavyo watumie marafiki wengine ili kusapoti huu mchongo #tunakushukuru
Sent from my Sony Xperia™ smartphone
SONGA FT SUSU MAN - JUU KWA JUU ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 7:28:00 PM
MkitoMpya mliokuwa mkiungojea kwa hamu #JuuKwaJuu wa Songa sasa upo hewani!
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Ray Teknohama
Pakua hapa >
RAI CLASSIC FT BECKA TITLE - LULU ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 7:14:00 PM
kupakua Wimbo Mpya wa Rai
Classic Akimshilikisha Becka Title Kutoka B.O.B michalazo Click
Akizungumizia Msichana Mrembo Kutoka Bongo Movie Nyimbo Inaitwa "LULU"
imefanyika KWANZA RECORD chini ya usimamizi Wa Producer Vennt Skillz
Kutoka MoroTown
Subscribe to:
Posts (Atom)