PRESS RELEASE
Joett Aachia Singo Mpya
Akishirikisha Wasanii wa Bongo Flava G Fullah na Level One
Mwalimu wa kuimba na msanii wa ku-rekodi miondoko ya pop –
Joett, anaachia singo yake mpya I’m Gonna Live Forever Octoba 13 2014, ambayo
amewashirikisha wasanii wa bongo flava G Fullah na kundi la...