KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, December 10, 2015

NAFASI YAKO SASA YA KUIPATA ALBUM YA FRESH ANDY & TENYA BROWN "PAWAMBU"

KAMA ZAWADI YA MWISHO WA MWAKA, KWA WAPENZI WOTE WA MUZIKI ALBUMU YENYE NYIMBO ZA KISWAHILI MCHANGANYIKO NA NYIMBO ZA ASILI KATIKA MFUMO WA DVD, SASA IPO MTAANI RASMI TANGU MAPEMA MWANZONI MWA WIKI HII. UNAWEZA ITAFUTA SASA MTAANI KWA JINA LA "PAMBWAMBU" LIKIWA NA MAANA YA NG'AMBO TOKA LUGHA YAKIHEHE....

WAKAZI KUINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA BEST KORA BEST HIP HOP 2016

@Wakazimusic (Tanzania) has been nominated for the 2016 Kora Awards as "Best Hip Hop Act" alongside K.O (South Africa), Sarkodie (Ghana), Stanley Enow (Cameroon), Hamzaoui Med Amine (Tunisia) & Kiff No Beat (Cote D'voire). The Award Ceremony will take place in Windhoek, Namibia on March 20th...

EWI - KUMBUSHO KWA RAISI ( New Audio )

Kupakua wimbo wa EWI (Environmental Warriors Of Ilboru) kwa jina "KUMBUSHO KWA RAIS" ikiwa ni HipHop category yenye sauti za wakali Bounako, Spac Dawg, Boox, Chindo pamoja na Gnako mkono toka kwa @defxtro @noizmekah Studios kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Mkurugenzi wa EWI Ayubu kwa nambari...

COMING SOON: BAADA YA BEST NASSO NAISHU YA MADAWA YA KULEVYA SASA AFUNGUKA YAHA HAPA

Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya Kulevya. Hatimae amewadhihilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za kweli,Na Ameachia bonge moja la wimbo. Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia...

Ram Life ft Makamua & B the Boss Man - NIPENDE KAMA NILIVYO ( New Audio )

Msanii wa hip hop "Ramlife" amekuletea ngoma hii mpya maskioni mwako ambayo ameitambulishwa rasmi kupitia www.eriqure.com , Wimbo unaitwa NIPENDE KAMA NILIVYO ulioandaliwa na Producer KAJU BEATS, Amewashirikisha "Makamua na B The Boss Man" ...

BELLE 9 - BURGER, MOVIE, SELFIE ( New Audio + Lyrics )

LYRICS VERSE 1 toka nimuone sura haipoteiiih nashindwa kubadili profile picha watsap/ najaribu kusubiri moyo haungojei/ for the first time I dedicate this track (huuuuuuh) njoo nikuoneshe nini unatakiwa upate mtoto mzuri mzuri kaama weeeh/ (huuuuuuh) the best couple in this world we...