KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, July 27, 2016

Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Audio

Nafasi yako nyingine tena Kuusikiliza wimbo mpya wa Mwanamuziki Kala Jeremiah uitwao Wanandoto. Wimbo huu kamshirikisha bint mwenye umri mdogo ambae anakipaji pekee aitwae Miriam Chirwa. Umefanyika chini ya Mikono ya Zest Moja Moja Records. Kuupakua Gusa kitufe chekundu hapa chini chenye neno...