KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, April 7, 2014

YALIOJIRI MAFINGA TAREHE 06/04/2014 (UP DATE INFO)

WANACHAMA WA FILAMU, MUZIKI, NA WAJASILIA MALI TOKA MAFINGA WAMEKUTANA TARE 06/04 2014 MAFINGA - MKOBWE KIKIWA NI KIKAO CHAO CHA PILI CHA KUPANGA MIKAKATI MBALIMBALI YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIMAENDELEO KATIKA KILA TASNIA.
BLOGGER SELENGA KADUMA AKIWA NA WENYEVITI WA VIKUNDU, KATIKATI MWANZILISHI NA MWENYEKITI MKUU WA VIKUNDI VYOTE EDDO BASHIR, KUSHOTO TENYA BROW AKIWA MWENYEKITI WA MUDA KATIKA TASNIA YA FILAMU, CHINI KULIA FRESH ANDY AKA DOGO SCOPY KAMA MWENYEKITI WA MUDA WA WANA MUZIKI MAFINGA, NA CHINI KULIA NI BLAI KALINGA - MWENYEKITI WA MUDA WA WAJASIRIA MALI MAFINGA. MIMI PIA NI MMOJA WA WAJUMBE WA WAJASIRIA MALI.
PIA MKUTANO HUU ULIKWENDA SAMBAMBA NA KUGAZA ZAWADI YA SIM YA KISASA YENYE THAMANI YA Tsh 230,000 KWA MSHINDI SECHOLELA TOKA ITIMBO MAFINGA, KUTOKA SHINDANO LA RADIO EBONY FM LINALOENDWESHWA NA EDDO BASHIR KATIKA KIPINDI CHA ONE SIX SHOW KUANZIA JUMA TATU - IJUMAA SAA 12 JION MPAKA SAA 03 USIKU.

HAPA NIKIWA NA MSHINDI WA SIM SECHOLELA KATIKA KIKAO CHETU MAFINGA. NAFASI YA KUJIUNGA BADO IPO WAHI KWAKUA TAR 13/04/2014 ITAKUA NDIO SIKU YA MWISHO YA KUJIUNGA KWA MASHERTI YA SASA. BAADA YA HAPO MAMBO YATAKUA TOFAUTI KATIKA JIUNGA HAPO, AMBAPO TUNATARAJI KUKUTANA TENA KWA KIKAO CHA MARA YA TATU.



SECHOLELA AKIWA NA NA FURAHA BAADAA YA KUKABIDHIWA SIM YAKE MPYA KAMA MSHINDI WA MWEZI NA EDDO BASHIR. TUKUTANE TENA TAR 13 JUMAPILI IJAYO PALE PALE MKOMBWE KUANZIA SAA 06:00 MCHANA.

YALOJIRI TAMASHA LA TULIZANA IRINGA 05/04/2014 ( UPDATE EVENT)

MUZIKI ULIHUSIKA KWA ASILIMIA ZOTE. DJ AKIFANYA YAKE KWA MASHINE
EDDO BASHIR AKIWA NA FID Q KWA JUKWAA WAKIFANYA YAO.
EDDO BASHIR KAMA MC AKIWAWEKA SAWA MASHABIKI
SAMORA ILIFURIKA WATU KAMA UNAVYOONA HAPA INGAWA MVUA ILIHUSIKA PIA, LAKINI UMATI HAUKUJALI.
JUKWAA LA EBONY FM LILIHUSIKA KATIKA TAMASHA HILO.
TUKO WANGAPI? TULIZANA WALIKUA NA KAULIMBIU HIO.