KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, May 4, 2014

EMMANUEL KADUMA - KATIBA (NEW VIDEO)

EMMANUEL KADUMA NI MWIMBAJI NA MTAYARISHAJI YA MUSIKI ANAE MILIKI STUDIO KUBWA ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI INAYO TENGENEZA MUSIKI WA SAUTI ILIOPO IRINGA.
EMMANUEL KADUMA, KAJA NA WIMBO ULOKUA UKISUBIRIWA KWAHAMU SAANA NA WATANZANIA UITWAO KATIBA. WIMBO HUO UMEZUNGUMZIA MCHAKATO WA UTAYARISHAJI WA KATIBA YA NCHI YE TANZANIA AMBAO BADO UNAENDELEA MPAKA ASASA. PIA KAZUNGUMZIA UMUHIMU WA BUNGE LA KATIBA KUUNGANA NAKUA NAMSHIKAMANO KATIKA KUTAYARISHA KATIBA MPYA.
VIDEO YA WIMBO HUU IMEFANYWA NA DIRECTOR NICLASS CHINI YA  EMAGINATION IRINGA,TANZANIA. KUTIZAMA VIDEO HIO, TEMBELEA NA BOFYA HAPA CHINI.