Track Mpya Kabisa na Hatari toka kwa Jay Mutta ft Yaki itakayokwenda kwa jina la CHEMBA ZINAVUNJIKA. Tayari isha kamilika na Inazungumzia Ugumu wa maisha halisi ya Mtanzania kwa sasa, Beat Mpaka Mixing ikiwa imefanywa na Amba. Track Hii inategemea Ingia Mtaani Mapema Wiki Ijayo. Track Hii ina Beat Kali na Hasa Chorus Hataaari + Mashairi yaloenda Shule. Swali la kizushi, Unadhan kati ya Mutta na Yaki Nan atakua kamfunika mwenzie? Next weeck tutapata Jibu.