KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, April 6, 2015

COMING SOON YA LEO: FRESH ANDY AKA DOGO SCOPE KUJA NA EMBEDODO BAADA YA CHAUSIKU.

MWANAMUZIKI FRESH ANDY AKA DOGO SCOPE TOKA MAFINGA, ANATARAJI KUJA NA WIMBO MPYA HIVI PUNDE BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU TANGU CHAUSIKU. WIMBO HUO ULOFANYIKA CHINI YA STUDIO ZA CHRIS RECORDS - PRODUCER KENNY, UNATARAJI INGIZWA RASMI MTAANI TAREHE 13/04 MWAKAHUU. MWANAMUZIKI HUYO AMESEMA TRAKI HIO IPO TAYARI NA IMEKAMILIKA KINACHONGOJEWA NITAREHE TUU YAKUACHIWA. USIZUBAE MTUANGU UTAKUA WAKWANZA KUUPATA HAPA HAPA PUNDE WIMBO HUU UTAKAPO ACHIWA.

0 comments:

Post a Comment