KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, February 26, 2015

TANZANIA FEMALE ARTIST - SIMAMA NAMI ( New Audio )


Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah (Bongo Flava), 6. Grace Matata (Bongo Flava), 7. Jack Wolper (Bongo Movie), 8. Irene Uwoya (Bongo Movie) 9. Shilole (Bongo Flava/Bongo Movie) 10. Khadijanito (Bongo Flava) 11. Zamaradi (Mtangazaji wa Radio)