DUMANGE is a song with a concept of a beat originated all the way from Tanga Region from coastal areas of Tanzania as one of the traditional music of Wasambaa tribe, The song is about a worker whom is failing to get a leave from the office who is also home sick and remembering his cultual inviroment the Traditional Dances his village life and mostly his parents.He is also talking about the hardships he is getting while he is in town
Sunday, July 19, 2015
I D - MOTO ( NEW AUDIO )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:28:00 PM
Pakua wimbo mpya wa ID kutoka kundi la Illmatix ambao ni moja ya wimbo katika albam yake mpya itayotoka hivi karibuni
DON KOLI - SHABIKI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:14:00 PM
Kuwa wa kwanza kusikia wimbo mpya wa msanii chipukizi Don Koli - SHABIKI.
Wimbo huu umetayarishwa na Kibabuwapoteen na Emasson kutoka Kiri Records
Link
REAL JOFU & NAY LEE - KUMBE NI NDUGU ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:07:00 PM
Song Name/Jina la Nyimbo: Kumbe Ni Ndugu.
Artist Name/Jina la Msanii: Real Jofu & Ney Lee .
Genre/Aina ya Nyimbo: BongoFleva
Directed/Mwongozaji: SAIMAKO.
Producer/Mtengenezaji: Maximizer.
Studio: Mazuu Records.
Contact/Mawasiliano: 0715505077
VIVIAN - SAME GIRL ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:58:00 PM
Hivi leo Msanii wa Nairobi ambaye anatambulika Kama Vivian amewaachia Mkito uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu "SAME GIRL" ambao sasa unapatikana exclusively on Mkito!
Link >
KIGOTO MMBONDE - NIPE NIKUPE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:49:00 PM
Kutoka kwa KIGOTO MMBONDE hii ni ngoma yake inayokwenda kwa jina la 'NIPE NIKUPE'. Huyu ni msanii kutoka Mombasa nchini Kenya ambaye amevuma Sanna ya mziki huko pwani.
Pakua hapa:
AMOURY - SEBENE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:43:00 PM
Kutoka Mombasa nchini Kenya, anaitwa Amoury akidondosha ngoma yake inayofanya vizuri sana katika chati za muziki inayokwenda kwa jina la SEBENE.
Pakua hapa
MWL BASHANZI FT LADY YOO - MCHAKATO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:14:00 PM
kupakua wimbo wa "Mwl Bashanzi akimshirikisha mwanadada "Lady Yoo" ngoma kwa jina "Mchakato" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na BASHANZI kwa nambari +255 764 086 092 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
D-MALICK - UTAUMIAGA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:00:00 PM
Subscribe to:
Posts (Atom)