
HILI NIDARASA HURU KWA WANA HIPHOP WOTE DUNIAN, KUHUSIANA NA NGUZO ZA HIPHOP. DARASA HILI LIMEANDALIWA KWAMFUMO WA SAUTI NA MWANAMUZIKI WA HIPHOP WAKIKE TANZANIA WITNES MWAIJAGA AKIJULIKANA KAMA WITNESZ KIBOMGE MWEPEC. LEO AMEENDELEA KWAKUELEZEA NGUZO YA PILI KATI YA NGUZO TISA AMBAYO NI DJYING....