KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, October 18, 2015

NASSER FT NAKAAYA - MAENDELEO ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Nasser akimshirikisha @nakaayasumari katika ngoma kwa jina " Maendeleo" itayokuwa katika Mixtape Project toka @noizmekah na kwa mahojiano zaidi check na @nasser_gullam kwa nambari +255 654 606 122 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

SUPER DIVERS FT TUSIFE MOYO ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi "Super Divers na mwanadada Nancie katika wimbo wao Bongoflava Category kwa jina "Tusife Moyo" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 658 644 604 au +255 659 577 692 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOw

UNIQUE GUYS - APPLE ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi kwa jina "Unique Guys" na ngoma yao Bongo Flava Category kwa jina "Apple" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 752 607 998 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

DOCUMENTARY: KUTANA NA VIDEO FUPI INAYO ELEZEA UMUHIMU WAKUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU.


Muhimu Filamu, ni filamu inayohusu maisha ya vijana na mahusiano ya kimanzi dhidi ya matumizi ya kinga (kondom). Na pia imetengenezwa kwa lengo la kuimiza vijana katika matumizi ya kinga ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi yaani VVU. Kampaini ii inatwa MUHIMU CAMPAIN, ni kampendi endelefu kupitia filamu na mafundisho Dhidi ya maambukizi ya VVU. kama umeguswa na wataka kusaidia kampaini ii kufika mbali zaid wasiliana nasi kupia galaxyfilamu@gmail.com KUTANA NA SOUND TRACK ILOTUMIKA KWENYE FILAMU HIO KWAKUBOFYA NAKUSIKILIZA HAPA CHINI.