KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, December 13, 2015

NIMEKUSOGEZEA PICHA ZAIDI YA 28 ZA SHOW YA MTIKISIKO 12/12/2015 IRINGA

MAPEMA MCHANA WA TARE 12 WAKATI MAANDALIZI YA SHOW YAKIENDELEA NILIFANIKIWA FIKA NAKUSHUHUDIA KILICHOKUA KIKIENDELEA. MOJA YA WANAMUZIKI WA IRINGA VIDY MWENYE SURUALI NYEKUNDU ROMA AKIKIWASHA KWASTAGE JUMA NARE NA RICH ONE WAKIKIWASHA JUKWAANI DJ NAS AKIHOST SHOW TOKA EBONY FM EDWIN...

TRBADOUR FT IBRAH - UZURI WA SURA ( New Audio )

Artist-Trubadour George Ft Ibrah Track- UZURI WA SURA Studio- Bantu Music Production Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki, wimbo huu nimeshirikiana na Ibrah, wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao....

Barnaba x Mwasiti x The Voice - NJITI

Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo maalum wa NJITI (premature babies) uliowezeshwa na Doris Mollel Foundation. Njiti anaweza kuishi akipewa mazingira bora. Sambaza ujumbe huu kwa wengi tuwape faraja wazazi pamoja na Njiti wengi pia. "You can now download and listen special song done...