
ARTIST: ZAIID
TRACK: KWANINI
PROD: MUJWAHUKI
NAPENDA CHUKUA NAFASI HII WADAU WOTE WA MUSIC TOKA NYANDA ZA JUU KUSINI KUJIFUNZA KUPITIA TRACK HII. PRODUCERS, MNAWEZA JIFUNZA KITU KUPITIA BEAT HII, MIXING NA KILA KITU. ARTIST, MNAWEZA JIFUNZA SAANA KUPITIA UANDISHI WA MASHAIRI WA TRACK HII KUANZIA...