KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, March 16, 2015

BIOGRAPHY YAWIKI HII: MJUE PRODUCER NA MMILIKI WA SAMPAMBA MUSIC IRINGA HAPA...


Jina langu naitwa paulo timoth mwasile [Sampamba ] ni mama yangu aliye nizaa na ndiye aliye nifundisha mziki.Nimefungua studio yangu mwaka 2013 na Imetimiza miaka miwili sasa na inapatikana mjini iringa mimi ndio mmiliki wa studio nikisaidiana na ndugu wa karibu kuiendesha .nimefanya hiti moja nyimbo ya meda barua kwa diamond.Nimesoma mpaka form six shule ya secondari mwembetogwa iringa .elimu ya mziki nimepata Ujerumani coz ya miezi sita.asante kwamawasiliano na Sampamba Music/ mwasile unaweza mtafuta kupitia hapa 0763231052 email ni sampamba59@gmail.com Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biografi yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

AkiliMali-Swagger Zake (Official Video)


Follow @akilimali_prezdar & watch the official video "Swagger Zake" audio by @defxtro and Video directed by @iamsamtimber huku baadhi ya vipande @innomafuru pamoja na @travellah Bofya HAPA https://youtu.be/rlZGJGFohnA kutazama Video hii ya dancehall toka Arusha Mjini Pamoja Na eneo la Mto wa Mbu, wameshiriki Dancers kama Shontelle na Video Queen Glory a.k.a Bby Cruiz anayekuja kwa kasi katika Video Industry, pia pata audio HAPA https://mkito.com/song/swagger-zake/2521 na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Akilimali Prezdar kwa Nambari +255767955405 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com #supportafricanartists #vmgafrica #SupportYourOwn