KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, September 29, 2013

TABASAM MUSIC NA MUSIC NYANDA ZA JUU KUSINI.

TABASAM MUSIC, NI MUSIC PRODUCTION STUDIO ILOANZIA FANYA KAZI DAR MIAKA YA 2003 NA BAADAE KUHAMIA MBEYA. THEN KWASASA INAPATIKANA IRINGA CHINI YA PRODUCER QBASS QUALITY ALIOPO KWENYE PICHA HII. STUDIO HII IMEKUA IKIJA KWA KASI SANA HASA KWENYE KUFANYA KAZI ZA HIP HOP. MIDUNDO INAYOFANYIKA HAPA NI NEXT LEVEL MPAKA IMEWEZA MTOA SUPER NYOTA WA FIESTA 2013 MBEYA AITWAE STANNA.
HAPA QBASS QUALITY AKIWA NDAN YA STUDIO ZA TABASAM MUSIC AKIFANYA YAKE. MIPIKO IFANYIKAYO HAPA HATAARI MANZEEE.
BLOGGER SELENGA KADUMA KUSHOTO NIKIWA NA PRODUSER QBASS NDAN YA STUDIO YAKE SIKU CHACHE ZILIZOPITA BAADA YA KUMTEMBELEA. NILIVUTIWA NA KAZI ZIFANYWAZO HAPA. NIKAPANDA GARI TOKA MAFINGA NA KUTUA IRINGA KUMSABAHI.
BLOGGER KUSHOTO NIKIWA NA RAYMOND WA TIP TOP CONNECTION ALIEIMBA CHORUS YA POMBEYANGU MADEE. MTOTO WA MBEYA HUYU NILIMKUTA HUMU PIA AKIFANYA YAKE.
RAYMOND, JAY, MUTTA, STANNA, NA WISMA NI BAADH YA ARTIST PIA NILOWAKUTA TABASAM MUSIC SIKU HIO.
FADDY (MTANGAZAJI NURU FM) TOKA KUSHOTO NA AKINA RAYMOND, JAY MUTTA, STANNA, WISMA WAKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
BLOGGER TOKA KUSHOTO, NELY (MTANGAZAJI NURU FM) FADDY MTANGAZANI NA STANNA ARTIST SUPPER NYOTA MBEYA 2013 AKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
MAN SIMPLE MTANGAZAJI NURU FM, NEMY ARTIST, FADDY, SEBBA - programmer manager, FRIDA MTANGAZAJI NURU FM, NA EDDO BASHIRI -ALIEKUA MTANGAZAJI EBONY FM PIA WALIKUAPO WAKITEMBELEA TABASAM MUSIC CHINI YA QBASS QUALITY BAADA YA KUVUTIWA NA KAZI ZAKE.
QBASS AKIWA KAPIGA POZ NDAN YA NDINGA WATOTO WAKITAA WANASE. AMEKUA AKIZIDI JICHUKULIA UMAARUFU MKUBWA KAMA PRODUCER BORA KUTOKANA NA UBORA WA KAZI ANAZO ZIFANYA. MIMI NIMEPATA BAHATI YA KUZISIKILIZA HATA ZILIZOPO JIKON HAZIJATOKA. EBANEE, HATAAAARI TUPU. PRODUCER WA KUSINI NA TZ KWA UJUMLA JIPANGENI. COZ JAMAA AKIANZA TEMA MIGODI ILIOKO JIKONI KWA MEDIA NA MTAANI, ITAKUA BALAAAAA.
TABASAM MUSIC KWA SASA INAFANYA KAZI KWA OFA MAALUM KWA MUJIBU WA QBASS, AMBAYO NI 100000 TU KWA TRACK. OFA HII NI YA MUDA TUU, BAADA YA HAPO HUENDA BEI ITABADILIKA. PIA ANATAFUTA ARTIST WA NYANDA ZA JUU KUSINI WAKONGWE AFANYENAO PROJECT MAALUM. KAMA NAWE NI MMOJA WAO FANYA KAMA UNAMTAFUTA MYAJENGE. BAADH YA TRACK ALIZO FANYA ZINASOMEKA HAPA CHINI KAMA IFUATAVYO,