
HII KUTOKA KWA CHRISS BEE
Habari.
Nianze kukushukuru wewe mdau unae support muziki wangu,toka naanza safari yangu ya muziki umekua nami kuhakikisha muziki wangu unasogea mahali unapotakiwa kufika shukrani sana na Mungu akubariki.
Hizi ni track yangu mpya ya Tatu inaitwa COCONUT nikiwa nimemshirikisha...