Heshima yako ndugu, Hii inaitwa MAPENZI PESA niliifanya kitambo kidogo
na brother NAY WAMITEGO, haikuwa kwenye list official kutoka kwa kipindi
hiki ila nimeikuta somewhere nikaona before haijasambaa sana kwa mtindo
wa kuvuja nikaona nisambaze tu wakati najiandaa kwenda na ratiba.
NIMANENO TOKA KWA MC KOBA MWENYEWE.
Kind regards
Mc KOBA
@kobamctz