Nyimbo imefanywa chini ya maproducer wawili ambao ni jwillz na willah touchez studio inaitwa hold guys music ipo tunduma msanii ni BINASH nikiwa nimemshirikisha SKY4 na nyimbo inaitwa LEO naomba support yenu 0719057820...
kupakua wimbo wa Seenga S akimshirkisha Top G kazi ikiwa ni HipHop category kwa jina "Pombe Kiasi" toka Studio za Noizmekah,kwa mawasilano/mahojiano check na Seenga S Kwa nambari +255 758 150 372 powered by @vmgafrica #vmgafrica @noizmekah www.selengakaduma.blogspot.com #SupportYourOwn...