Baada ya Ukimya wa takribani miaka mitatu sasa, Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la B Alone alie Vuma saana na Kibao cha Kombolela wakati Huo, Leo karejea tena na video Mpya iitwayo Nakupenda mama. Kama Hujaitizama Unaweza Gusa Player ya Video hio hapa chini.