KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, May 15, 2015

Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade - STRONG GIRL ( New Video )


aladee ‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini kwa wasichana na wanawake katika jamii. Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja na Vanessa Mdee (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), Waje (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria), Semor Mtukudzi (Zimbabwe), Gabriella (Mozambique), Arriele T (Gabon) na binti wa miaka 14 kutoka Afrika Kusini Blessing. Mbali na hao pia mwigizaji kutoka Nollywood Omotola Jalade pia ameonekana ndani ya video hiyo. Nakukaribisha hapa kuitazama…