Mfalme wa Soul music nchini Tanzania ameungana na mkali wa kuchana G Nako katika track iitwayo TUDUMISHE ikiwa katika miondoko ya Reggae. Pata flava hii kali hapa
Sunday, September 6, 2015
DARASSA FT MR BLUE - HEYA HAYE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:46:00 PM
Mkito uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa upo hewani! Darassa akimshirikisha Mr Blue, Heya Haye
Link >
FEZA FT CHEGE - SANUKA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:12:00 PM
WAKAZI - PARTY (New audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 4:47:00 PM
Kama hukupata nafasi ya kusikia ngoma mpya ya Wakazi alioachia hivii karibuni basi nafasi yako hii hapa!
Wimbo wa Wakazi "Party Exclusive" ni wimbo mpya uliotengenezwa na Cjamoker kutoka kwenye alabam yake Kisimani atakayoiachia hivi karibuni
Pakua hapa
ISAYA - ASIA ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 4:24:00 PM
Singer Name:- Isaya
Song Name:- Asia
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- I'Com Papir & Saimako
Youtube Video Link>>
JUMA ENGLISH FT PLACK & NAHUM - ACHA WASEME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:58:00 PM
Bofya HAPA https://mkito.com/song/acha-waseme-ft-plack-and-nahum/15640 Kupakua wimbo wa Juma English ft Plack & Nahum kwa Jina "Acha Waseme" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nae kwa Nambari +255 766 860 782
powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
NAKAAYA FT KALA JEREMIAH - NIMECHOKA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:48:00 PM
MANENO KUTOKA KWA NAKAAYA:
Leo ndio siku ninayoachia nyimbo yangu "nimechoka" naomba uisikilize, vilevile mtumie na mwenzio. Sambaza UJUMBE. Ninaamini kuwa wote tukizungumza bila uoga, tukiamka... tunaweza kuwa na Tanzania isiyo na ufisadi. Haijalishi wewe ni chama kipi, kilicho na maana ni- ukweli unaousimamia. Je hujachoka hizi sekeseke za hii serikali? Kwanini viongozi wetu hawahangaikii na kutatua vitu vya msingi? Afya, miundombinu, elimu nk. Ni sababu tunachagua fisi kuchunga mbuzi na wanapowala hao mbuzi eti tunashangaa! Mwaka huu, Mtanzania mwenzangu- chagua kwa busara...kwa hekima. Usimuangalie kavaa rangi gani au anatokea chama kipi...mwisho wa siku wote wanafanana fanana, ila angalia mtu binafsi, sera zake, historia yake ya maendeleo katika nchi hii na jimbo lake je yeye ndie atakaetupa uhuru? Kwa sababu ndugu yangu, sijui kama umeshashtukia...hatupo huru. Mapambano yanaendelea. Nakaaya Sumari - 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)