990 WAMEKUFA NI FILAMU MPYA NA YAKWANZA YA KUTISHA TOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI CHINI YA MIALE SANAA GROUP-IRINGA MJINI. KWA MUJIBU WA KHAMISI NURDINI KAMA MWENYEKITI WA MIALE SANAA GROUP AMESEMA ITAINGI MTAANI HIVI PUNDE. FILAMU HII INATEGEMEWA SISIMUA SAANA WATAZAMAJI KWA KUA IMEHUSISHA MAZINGIRA HALISI NA UHALISIA WAKE, HASA PIA KATIKA MATUKIO YAKE. FILAMU HII IMEHUSISHA WASAANI KUTOKA IRINGA NA DAR. BAADH YA WASANII WALIOMO NDANI NI JENGUA, DUDE, KHAMIS NURDINI, NA REMS MYOVELA. ZAIDI TEMBELEA HAPA CHINI KUTIZAMA TRAILER YAKE.