KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, September 9, 2013

HIVI NDIVYO FIESTA SUPER NYOTA IRINGA 2013 ( ANGE TENA) ALIVYO PATIKA. FWATILIA HAPA.

 Kumsaka Super Nyota Iringa 2013 Ilianzia hapa, Man Fisa on Da stage, Mapemaaaaa alifungua.  Then akafwatiwa na Nas, kama kawa on Da stage.  Wa 03 akawa Absalum kupagawisha mashabiki kama kawa.  04 akanikimbizia Zack Mzee wa kalunde, kama kawa stajin.  05 Akawa Denyo...