KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, August 28, 2016

Polo ft Palmo - Marry you |

Polo_Ft_Palmo_Marry you_Official Video 

Polo is a female record artist based in Dar es Salaam Tanzania, signed under 8milebeats music group, music label in the year 2015. Marry you is her first song to be released in her album SKY IS THE LIMIT featuring Tanzanian record producer palmo, who is also the song"s producer.Enjoy

Tuesday, August 23, 2016

Sunday, August 21, 2016

GreenGold - kwako | Audio


Wimbo Mpya wa Msanii GreenGold unaoitwa "kwako" ni wimbo mpya kabisa toka kwa msanii huyu ambao umetayarishwa na Producer Silley, kutoka katika Recording label ya S.M.G [Sampamba Music Group] nchini Tanzania. Kuupakua wimbo huu Bofya hapa chini kwenye kitufe cha Download


https://my.notjustok.com/track/download/id/123331

 
kuusikiliza Online Gusa hapa chini

Tuesday, August 16, 2016

Friday, August 12, 2016

Thursday, August 11, 2016

Barua ya wanandotokwa kwa Media zenye vikwazo | Barua


Inasikitisha sana kuona baadhi ya vyombo vya habari haviupi promotion ya kutosha wimbo wa wanandoto wa kala jeremiah. Ukizingatia wimbo huo unaongelea maswala ya watoto yatima inamaana vyombo vya habari havinauchungu na watoto yatima. Wimbo siyo wa watoto yatima tu bali ni wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu. Kama mtu anabisha kuwa huu siyo wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu aniambie ni wimbo gani unauzidi wanandoto. Hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa muziki wetu. Tumesahahau tulikotoka na hatujui tunapokwenda. Wimbo wa wanandoto naufananisha na wimba wa starehe wa ferouz hii inamana ferouz angetoa wimbo huu miaka hii usingechezwa kama ulivyochezwa na usinge kubalika kama ulivyokubalika.watu wa vyombo vya habari tuweni wa kweli mtu akifanya kitu kizuri kisapotini. Basi hata fanyeni kwa ajili ya watoto yatima. Au watoto yatima sichochote kwenu?.simanishi vyombo vya habari vyote ila baadhi hawautendei haki wimbo huu. Hivyo kama Mdau wa Muziki na kama unamchango katika sanaa ya Muziki, unaombwa kua real katika kusaport kazi nzuri na zenye matokeo Chanya katika jamii. By Selenga Kaduma

Wednesday, August 3, 2016